Duration 56:28

KIDANI EP 1- MWANAMKE MLEMAVU ANAEPIKA KIMATAIFA NA KUNYAKUA TUZO

152 watched
0
8
Published 20 Sep 2021

Chef Zenny aamua kuwa mpishi licha ya changamoto za mazingira anayopitia. anandoto za kuwa mwanamke wa kwanza kufungua mgahawa wa watu wenye ulemavu, ni mtaalam wa kupika vyakula vya bahari vyote, ana cheti cha upishi cha Kimataifa

Category

Show more

Comments - 0