Duration 5:57

CHUO KIKUU CHA MZUMBE CHAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WAJASIRIAMALI WADOGO

392 watched
0
4
Published 25 Jul 2021

Mnamo tarehe 24 july 2021, Chuo kikuu Mzumbe kupitia wanafunzi wake wa MBA, kimeendelea kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wajasiriamali wadogo na safari hii wametoa mafunzo hayo kwa wajasiriamali tofautitofauti wanaofanya shuguli zao maeneo ya karibu na chuo hicho kilichopo eneo la Tegeta na kuwapa mbinu mbadala ya jinsi ya kutumia na kufaidika na fursa ya uwepo wa chuo hicho katika eneo hilo.

Category

Show more

Comments - 0