JE! UNAWEZA KUTAMBUA MUNGU ANAPO ONGEA NA WEWE?
KUPATA KITABU KINACHO ONGELEA NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU PIGA SIM NUMBER +255759612430
MAREKANI NA CANADA PIGA +1515 441 4962
Category
Show more
Comments - 80
@
@graceb23984 years agoIm blessed to hear your massages always. 3
@
@edwardmarro9785 years agoMachozi yananitoka moyoni pr somo hili ni kama uliandaa kwa ajiri yangu, eehh mungu neema yako ikawe juu yetu na utupe macho ya kiroho katika pendo la yesu kristo amen. 11
@
@zipporahnyanchoka42914 years agoWah am blessed with yourpastor also b blessed. 2
@
@asharamadhan88065 years agoAmina mchungaji ubarikiwe na mungu wa mbinguni katika jina la yesu maana tunabarikiwa sana kwa neno la mungu unalo tuletea hakikamaisha yetu mungu akupe afia njema kila siku pamoja na familiya yako. 1
@
@hellenratemo28133 years agoNice message keep it up, i have learned many things from ur sermon pastor, god bless you. 3
@
@catherinehenryameeen59772 years agoAmen. Asante mungu kwa ajiri ya mchungaji mbanga. 1
@
@lenahasantemchungajiauko88115 years agoAmina mchungaji nabarikiwa sana. Naomba ubarikiwe kwanza ndo ni fwatie nami. 3
@
@pauloropian30935 years agoThanks uwepo wa mungu hukaa juu ya sifa " may god bless all " 3
@
@selfaakinyi78244 years agoEeeh mungu wangu, nijalie macho ya rohoni. 2
@
@mn94845 years agoNi katika roho! Kila siku najifunza zaidi kumsikiliza mungu hatua kwa hatua. Mungu akubariki mchungaji, hapa usa grace. 1
@
@maryosoro54974 years agoReally mchungaji huwa unanibariki sana na mahubiri yako. 1
@
@sdawalokole94895 years agoAmen, mungu ni roho na sisi ni roho pia. 2
@
@roselele3415 years agoAmina unanifungua kila siku nazidi kuwa na imani asnt mchungaji mungu akubaliki sana. 1
@
@franksikombe98605 years agoTumebarikiwa sana huduma yenu mungu awape uvumilivu muimbe hadi mbinguni by frank sikombe-katavi. 1
@
@maureenjovial60834 years agoAmina asante mchungaji nimepata kuchua mungu n nani. Naomba uongozo wa roho mtakatifu aniwezeshe niskie sauti ya mungu.
@
@petromabagala91865 years agoHii kwaya huwa inanivuta karibu sana na mungu. Mungu akubariki sana pr mmbaga.
@
@cutestpuppies66325 years agoKila maraninabarikiwa na kufunuliwa ukweli mpya, mungu akubariki sana pastor.
@
@janehlwjn99824 years agoAsante kwa mahubiri yako nabarikiwa sana nkiwa saudi arabia napenda sana mafundisho yako pr ubariwe sana.
@
@kbsclips65155 years agoMchungaji nabarikiwa sana, mkale uk hapa.
@
@keziaranga63294 years agoPaster ninabrikiwa sana na masomo yako umenifungua sana macho ya rohini.
@
@barakachongera97053 years agoHakika nimejua vitu vya thamani thana"
@
@amoszacharia69095 years agoHakika mchungaji masomo yako yananibarikisana nami natumia fursa hii kuwambia watu ile nuru ninayopata kupitia masomo yako.
@
@fredmselle22273 years agoNaomba kujua km hicho kitabu kipo moshi.
@
@daudnyore46964 years agoI hope one day i will talk, with you man of. God, may the peace of god that passes all. Understanding keep you by the grace of god. 2
@
@rehemaisaack17282 years agoHili somo sehemu ya pili yake inayofata naipata wapi nimetafuta humu nimekosa.
@
@charleskaselya77445 years agoHabari mm sijaelewa hubiri la umiliki, nilikuwa nalisikiliza usiku baadaye nimeikuta inaniambia video hii ni private na naisearch haipo mmeifuta? 1
@
@daviddotto3275 years agoMungu awabariki sana waimbaji wa kwaya hii ya sauti ya jangwani kutoka shinyanga ushirika. 1
@
@patrickemmanuelemmanuel93544 years agoUbarikiwe mtumishi wa mungu ninawezaje kupata kitabu chako cha namna ya kusikia sauti ya mungu mm niko sumbawanga namba zangu za simu ni 0757392906 lkn. ...Expand
@
@laithvayinga11225 years agoMchungaji naomba nambaako ninashida. Nashukuru kwa masomo.
@
@rosepeter89964 years agoAmenmchugaji mmbaga ninalo swali, sasa nimesikiza mahubiri yaki yakaniguza kweli, hivi ikiwa mimi nim catholic, na sali kwa rosary, ama kwa kanisa kuna il . ...Expand
@
@hondenisonmagufulinyabaro39235 years agoHii kwaya gani please? niambie naomba tu. 1
@
@elishashillah97765 years agoHili somo natamani Sana, Kulipata lote, Jamani, naomba nisaidiwe kulipita! Naomba Kama unaweza nitumia ktk Email ni elishashillah139@ class="buttons"> au WhatsApp Number 0767522247 Nisaidie sana .....Expand1
@
@erickmahindu91984 years agoOur father in heaven, means? He' s a male.
@
@roselele3415 years agoUku sijayajua makanisa yp ila sijui yapo wapi.
Related videos for NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU (Mungu anapoongea na wewe):
eehh mungu neema yako ikawe juu yetu na utupe macho ya kiroho katika pendo la yesu kristo amen. 11
niambie naomba tu. 1
elishashillah139@ class="buttons"> au WhatsApp Number 0767522247
Nisaidie sana .. ...Expand 1