Duration 6:29

ZIJUE MBINU YA KUPATA MTAJI NA MASOKO

233 watched
0
3
Published 10 Jul 2020

#MASOKO #MTAJI Taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) ikishirikiana na Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FSDT) wameandaa mfumo wa habari zinazohusu wajasiriamali nchini. Mfumo huu maalum unalenga kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kupata taarifa mbalimbali kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza biasahara zao. SOCIAL MEDIA FACEBOOK: https://www.facebook.com/Biashara-Tv-Tanzania TWITTER: https://twitter.com/BiasharaTVtz

Category

Show more

Comments - 0