Mtabiri Maalim Shafii
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA KIFO
Ndoto za kifo zinaashiria mambo ya dini, rushwa, kupanda kimaisha katika dunia. Maana hasa inakuwa pale mtu anapoota amebebwa kwenye sanduku au jeneza katika mazishi yake, kusafiri, umasikini na ndoa.
#WasafiTv #TheStoryBook #IbrahimuNuhuu #MtigaAbdallah #NdotoZaKifo