Subscribes:/c/KidaniStars
Bodi ya filamu Aprili 15, 2019 iliandaa kongamano litafanyika katika Ukumbi wa Suma JKT.
Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu ametoa elimu kwa wasanii wenzake kujithamini na kujitambua huku malengo yakiwa kuwafikia waigizaji nchi nzima.
Akizungumza katika kongamano hilo wema Sepetu ametoa faida za kujitangaza, kutengeneza kazi bora na wasanii kujua thamani yao. #WEMASEPETU
Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars
Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars
Twitter: https://twitter.com/kidanistars