Duration 10:40

MOBETO AFUNGUKA Nyumba Tunayoishi imetoka kwa Diamond

25 016 watched
0
119
Published 15 Jun 2018

MOBETO AFUNGUKA Nyumba Tunayoishi imetoka kwa Diamond Baada tetesi nyingi kusamba katika mitandao ya kijamii kuwa baba mtoto wa Hamisa Mobeto, Diamond Platinumz amemnunulia nyumba ambayo atakuwa akiishi na mwanae, Prince D, na kutoa kauli kuwa watoto wake wote niwa maghorofani hatimaye Mobeto ameweka wazi kuwa nyumba hiyo imetoka kwa Diamond. Ni katika exclusive Interview aliyoifanya na Global TV alipoenda kufuturisha katika kituo kimoja cha watoto yatima hapa jiini Dar es Salaam na kusema kuwa hawezi kusema kama Diamond kamnunulia mwanae nyumba ila nyumba anayoishi imetoka kwa kwake. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1

Category

Show more

Comments - 71