Duration 18:1

KIM JONG UN ALIKATAA USHENZI WA MABEBERU ANATUMIA MFUMO WA JUCHE KUENDESHA NCHI KUJITEGEMEA

45 837 watched
0
413
Published 29 Aug 2020

#NORTH #KOREA Unapozungumzia JUCHE unazungumzia Korea ya kaskazini, JUCHE maana yake ni kujitegemea, JUCHE inamaanisha kujitegemea katika kila kitu, unakuwa na technology ya kwako, unakuwa na Dini yakwako, unakuwa na ndege zakwako ulizotengeneza wewe, unakuwa na mfumo wa maisha wa kwako,unakuwa na tamaduni za kwako ambazo hazifanani wala kuchangamana na utamaduni wa taifa lingine lolote lile, unakuwa na kila kitu cha kwako bila kutegemea msaada kutoka taifa lingine, Korea ya kaskazini wana viwanda vyao, Wana ndege zao na mfumo wa kuabudu unakuwa wakwako hiyo ndio maana ya JUCHE (hiyo ndio hatua kubwa katika UTAMBUZI wa Kweli).

Category

Show more

Comments - 69