Duration 9:4

MZEE ADAI KUCHOMOKA FIGO NA MWINGINE MGUU KUVUNJWA KISA DHAHABU, NI MGOGORO WA WAZEE.

169 watched
0
1
Published 3 Jan 2022

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameendelea kuyafunga machimbo ya Mahagi yaliyopo Wilaya ya Nyang'hwale Mkoani Geita baada ya kuwa na mgogoro wa umiliki wa mashamba ambao umepelekea kufikishwa katika mahakama ya ardhi ili kupatiwa ufumbuzi. Mgogoro huo ni baina ya familia mbili za Mzee Gerevas Bambo na Mzee Saanane Jagi pamoja na mambo mengine Mgogoro huo umeathiri shughuli za uchimbaji wadogo. #SUBSCRIBEUWEWAKWANZAKUPATAHABARIZETU.

Category

Show more

Comments - 0