Duration 15:2

BREAKING: CORONA, WAGONJWA WAONGEZEKA WAFIKA 13, WAZIRI ATANGAZA - MMOJA KAGERA

75 520 watched
0
424
Published 26 Mar 2020

BREAKING: CORONA, WAGONJWA WAONGEZEKA WAFIKA 13, WAZIRI ATANGAZA - "MMOJA KAGERA" WAZIRI wa afya, Ummy Mwalimu, leo machi 26. ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona, ambapo hadi sasa Tanzania ina idadi wa wagonjwa 13 ambapo mmoja kati ya hao ambaye alikuwa mtu wa kwanza kuripotiwa na homa hiyo nchini amepona.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 213
  • @
    @africanchocolate42164 years ago Poleni sana wagonjwa wote! Mwenyezi mungu azidi kuwa ponya, amen.
    south africa, uganda, rwanda na ghana pia wame funga yao yote.
    viva south africa, viva ghana, viva uganda, viva rwanda mna fanya kama mwenyezi mungu alivyo agiza - pendaneni ninyi kwa ninyi!
    atendaye haki na mema hulipwa kwa wema, na atendaye uovu na uonevu hulipwa kwa uovu! Uki uwa kwa upanga, uta uawa kwa upanga, na mshahara wa dhambi ni mauti!
    -mwenyezi mungu ibariki south africa, ghana uganda na rwanda, amen
    .
    ...Expand 6
  • @
    @allyngoda7614 years ago Ummy mwalimu nakupenda sana allah akuepushe na haya maradhi insha allah. 14
  • @
    @khadijakhamis20824 years ago Hongera dada yetu, umepewa dhamana ya kuongoza wizara ya afya, wizara inayoitaji umakini sana, mungu akusimamie ktk kupambana na gonjwa hili, lisisambae zaidi katika jamii zetu. 4
  • @
    @charleslugemalila11684 years ago Asante sana mheshimiwa waziri kwa update nzuri tuendelee kupambana na mwenyezi mungu atusaidie na akusaidie wewe kuendeleza mapambano. 7
  • @
    @edwinalexander11704 years ago Safi sana kwa hizi updates na juhudi unayoifanya, kwa hizi juhudi nina imani hili gonjwa halitaathiri kwa kiasi kikubwa nchi yetu, na tutakuwa salama. 9
  • @
    @mariammwambungu31744 years ago Wewe kweli hicho kitengo kinakufaa kabisa sababu unajitambia mungu akulinde waziri wetu ummy mwalim. 2
  • @
    @salmahhabibu41314 years ago Kiukweli waziri masha allah. Allah azidi kukutia nguvu na tunamuomba allah atuondoshee janga hili alipeperushe kama upepo. 1
  • @
    @linahkrt82234 years ago Mungu iponye dunia nzima na gonjwa hili hatari. 1
  • @
    @dottnatt71104 years ago Mungu ibariki tanzania
    mungu ibariki africa.
    amiin yaa allah.
  • @
    @sadakhamis66844 years ago Inshallah mwenyezi mungu atatufanyia wepes. 2
  • @
    @amosurio80454 years ago Mama nakukubali sana uko bize na kazi yako. 12
  • @
    @antonmarwa26264 years ago Dada ummy huu umaarufu unao endelea kujipatia siku hadi siku utakugharimu. Ila hata ikiwa, potelea kule, ukweli utabaki pale, ww ni mchapakazi, mkweli, . ...Expand
  • @
    @naomisamatwa66904 years ago Naomben niuliz jmn watanzania wenzang kuna ulazim kwenda nje ya nchi na wanajua kabsa kuna maambukiz jmn wanafany kusud au maan sehem zingin nje huingii wala kutoka. 3
  • @
    @emmaturealloyce90174 years ago Wanakosea sana mienzi mitatu unarudi tena uo ugonjwa anaenda kuishi wapi. 1
  • @
    @lightinesspaulo52144 years ago Kwann muna kuwa hivo lakn kwann musifunge viwanja vya ndege na mipaka yote serikal nia yenu ni ipi hasa jamn. 26
  • @
    @yustinageorge17714 years ago Nakupenda sana ummy mwalimu unamaneno yakutoa hofu kabisa tanzania yetu lazma litapita hili.
  • @
    @nuruabdallah90314 years ago Jaman fungeni mipaka mbona mnakua wagumu kuelewa au mnataka mpaka tuanze kufa ndio mchukue hatua ya kufunga mipaka. Eee mwenyezi mungu tunusuru na ili janga la corona. 1
  • @
    @abubakarimsechu29664 years ago Mungu ibariki mondul kama ulivo ibariki chato aamin.
  • @
    @allyngoda7614 years ago Kwakweli mungu muumba mbingu na vitu vyote vinanyoonekana na visivyoonekana, tunakutegemea kutuepusha na haya maradhi makubwa kwa uwezo wa kibinadanu nikama tumeshindwa ameen. 4
  • @
    @abiudoalawi67084 years ago Ewee allah tuondole ugonjwa huu kwa uwezo wako ya labi. 23
  • @
    @queenwinnie2564 years ago Hao wanaoingia wanakuja kufanya nn? Nchi zote zimefunga mipaka, sisi hapa bado tu watu wanaingia mnaraka nn, kama sio kutuua, huyo mgonjwa wa zanzibar mme wake wiki mbili nyuma ndio alijulikana juzi, 1
  • @
    @ukhtyhalimaismailbakari49314 years ago Allah atasimama nasi mpaka hili janga litakapo pita na tutazidi kumuomba siku zote za maisha yetu amiin. 7
  • @
    @revelianalphonce81154 years ago Ee mungu wa mbingu tuepushe na janga hili. 1
  • @
    @kaishazabengesi29714 years ago Well presented. Baba wa taifa alipata kusema viongozi wanapaswa kuwapa wananchi matumaini. Wajihi wako watosha kutufanya tutumaini. Asante na mungu awabariki. 1
  • @
    @user-fc8xe2sc3w4 years ago Allah hinusuru tanzania yetu. Najanga hili la corona. Japo mmi nipo ugaibuni.
  • @
    @desgnertz3764 years ago Ili kuziia ugonjwa kuenea bas mfunge mipak kama wezenu! Nini shida sasa! 1
  • @
    @cloriosashirima93514 years ago Sikieni kilio cha wananchimpaka tafadhali! 2
  • @
    @annastaziarobert77234 years ago Eee mwenyezi mungu wewe tu unatosha kutukingia, tunakuomba utuhurumie. 2
  • @
    @naomisamatwa66904 years ago Jmn kwann lkn kuna ulazm watu wasafir waend nje jmn kwann lkn. 3
  • @
    @salhaabuu16494 years ago Utaingia tu kama hamtachukua hatua yakufunga mipaka maambukizi yataongezeka tu kikubwa fungeni mipaka mandege yanashuka tu hapa kwetu kwanini hatuogopi . ...Expand 1
  • @
    @kigomampyatv92094 years ago Ila taarifa nyingine nazo ni corona! Jinsi ongezeko linavyo tamkwa as if ni milions! 2
  • @
    @clementshauri86384 years ago Mungu ndie atakae tuokoa, hatuna uwezo hatawatu 20 kwa siku.
  • @
    @Mamatonny20654 years ago Tendo la ndoa pia linaweza kuleta maambukizo ya corona.
    kama hamjui nawaeleza!
    wanaume wengi wanapata maambukizo kwa sababu hawakumbuki kunawa mikono.
    wanapomaliza haja ndogo.
    2
  • @
    @desderymakoi65954 years ago Itakua busara sana kama mipaka ikafungwa kila mtu abaki kwao( yaani nchini kwao)hadi hali itakapo tulia. Hali hii itapita lamsingi ni umakini wa kufunga mipaka yetu. Wanaokuja ndio wanaoleta hatari. 1
  • @
    @damasnyakati60724 years ago Mheshimiwa mnawaangalia wanao ingia vip kuhusu tulio ndan huka ndani ya nchi ndipo baraha ilipo. 1
  • @
    @dinagod1734 years ago Fungeni mikapa tanzania jaman. Waziri wangu tusaidie mama tusaidie. 1
  • @
    @janethhenry83074 years ago Mungu atusaidie atuondoree ili janga na selikali zifunge mipaka jamani yunaomba.
  • @
    @jacklinejoseph12394 years ago Dah kwanini lkn safari za nje zisizuiliwe?
  • @
    @abubakarimsechu29664 years ago Vizur ila huku watu wanainga hawakai karantin wp mondul.
  • @
    @amethysturanus63514 years ago Hiyo ni stage 1 corona. Nashukuru kufahamu hakuna stage 2. Mungu atusaidie.
  • @
    @Emedroadtocanada4 years ago Anayeweza kutunusuru na kutuepusha na huu ugonjwa ni allah pekee hakuna mwingine kikubwa ni tahadhari tu na twamuomba allah awaponye waliopata ugonjwa huu aamin. 1
  • @
    @munuoisaack4184 years ago Hakuna haja ya kuwapokea mtakapozidiwa ndipo mtaanza kutafutana hapa patakuwa hapatoshi wapi mtakimbilia fungeni mipaka fungeni mipaka.
  • @
    @corneliasanga494 years ago Mi nashindwa kuelewa lakini kwa nn msifunge mpaka? 3
  • @
    @adammj62584 years ago Watanzania tunahitaji kuongeza umakini hiki ni kifo sio kutoa lawama kwa serikali na wenyewe pia ni watu. 7
  • @
    @munuoisaack4184 years ago Hairuhusiwi kutamka jina lakini kuna mtu alimtaja mtt wa mbowe juzi vipi nani alimpa hiyo mamlaka?
  • @
    @firdausmohamedyusuf75684 years ago Eeh allah tusaidiee. Na twaomba serekali watunyunyizie madawa nchini barabarani na mitani km wanavofanya nchii za wenzetu. 3
  • @
    @rahimasimrane56134 years ago Makonda awajibishwe na akanywe amedhalilisha familia ya mbowe aache ulopokaji analeta mambo ya u ccm. 3
  • @
    @billgussy60994 years ago Wanachi mnapaswa kutambua uhai wenu umo mikononi mwenu. Msingojee serikali mpaka iwatangazie idadi ya wagonjwa ukweli wa idadi kamili anaujua mwenyez mungu . ...Expand 4
  • @
    @ummialey63914 years ago Ndio mliokuwa mnalitala mnaona km mchezo corrona imewatis taharuki italy na sasa irail ambao wana vifaa itakuwa nyie skireen gani mnawspima watu homa watu . ...Expand 3
  • @
    @emmanuelkimath28814 years ago Hao raia wa kigeni wakati wanaingia hamkuweza kuwapima na kuwafahamu. Mifumo yetu ni dhaifu haswaa huko viwanja vya ndege. 1
  • @
    @cdeleo93364 years ago Wagonjwa ni wengi kuzidi idadi mnayotoa.
  • @
    @dicksonedward93804 years ago Sio kwamba wamegundua dawa ila huu ugonjw unapona kulingana na kinga ya mwili wako km kinga yako ipo vizur haikusumbui sana ndoman wanasema wale wote wenye . ...Expand 2
  • @
    @abdulrahmansalim97734 years ago Watoeni waislamu mliowatia jela kwanza hili ni tatizo kubwa lililoleta hili balaa.
  • @
    @rehemageorge95064 years ago Waziri ni vema mkafunga mipaka ya nchi yetu ili kuepusha maambukizi. 1
  • @
    @ashapearubart26244 years ago Mpeleka wasafiri hotel za bei kumbwa. Je? Kama huna uwezo huyo. 1
  • @
    @nassormohammed17434 years ago Huyu mmoja aliupatavipi ambae ni local, hivi ndivyo ilivyoanza duniani na mtu mmoja.
  • @
    @barakamaendeleo52024 years ago Sasa waziri unamaanisha tanzania tumegundua dawa? Ko bora kugawa dawa na kuruhusu kazi ziendelee kama kawaida maana kazi zimedolola sana. 1
  • @
    @desderymakoi65954 years ago Nchi nyingi zimefunga mipaka yao tanzania haitakua ya kwanza. Fungeni mipaka. 8
  • @
    @cydemanchester23684 years ago Hii corona ya tanzania hatuko serious namnanayo. Naona kama ipo kisiasa zaidi kuliko uhalisia wake. Mliambiwa mfunge mipaka kwanza lakini mkakataa kwa kisingizio cha uchumi. Inamaanisha mliona uchumi ni bora kuliko afya ya watanzania. ...Expand 7
  • @
    @sadickvenas37794 years ago Fungeni mipaka kama nchi zingine muache kutuzinguwa. 2
  • @
    @nyamanig134 years ago Mimi naomba tu kujua, hivi kwenye hiyo 13 yule mtoto wa mbowe tuliyeambiwa na mh. Makonda yumo maana hujaweka wazi tujue. 2
  • @
    @mustaphatibaijuka69954 years ago Tatizo lenu mnachukulia ugonjwa huu kama malaria hbu fungeni mipaka ya nchi korona inaua vibaya jamani. 1
  • @
    @queensjuma18324 years ago Uyo isabela mnh angeekwa kwny karantini kwanza miez mitatu. 1
  • @
    @flaviamswima8084 years ago Tunaomba mtuweke wazi kama dawamnasema isabella amepona, ila ningeshauri asiruhusiwe mpaka tuone mwisho wa corona. 1
  • @
    @eliyajelemia62444 years ago Yesu tunaye muomba anauwezo wakutuponya. 1
  • @
    @rukiamwakinyo53244 years ago Yani hicho kima cha caratin kwa siku 1 elf 80 ni unynyasaji maana hata hao waouza sabun za kuoshea mikono wana haki kupandisha bei. 2
  • @
    @mussakiswetya61294 years ago Kikwel naipongeza serikal kwa kupambana na ugonjwa na heshimu sana mnavyo pambana ila hofu yangu juu ya gonjwa waliopana hata nchini china ulianza hivi . ...Expand 2
  • @
    @shamswed40584 years ago Uyo isabela bola asiendelee kutangazwa mana kusema amepona tutaonekna dawa bongo tumeipata. 1
  • @
    @mpegesaaswile65814 years ago Kifo huwa hakiangalii kuwa walioleta ugonjwa walitoka nje au ndani, fungeni mipaka. 4
  • @
    @gibsonyshadrack45434 years ago Isabera asiruhusiwe kwanza mpaka huu ugonjwa uishe nimaon yangu tuu maana sina imani na vipimo vyetu. 1
  • @
    @munuoisaack4184 years ago Hivyo vifaa kutoka china mmevipima kujiridhisha kama havina corona?
  • @
    @annakulanga54154 years ago Jamani ebu zingatieni afya yawali wabongo tatizo ubishi umetujaa hadi serikali yenyewe wabishi utafikili waha.
  • @
    @sarakibona79484 years ago Mbona mnasema hakuna dawa wala kinga huyo isabela kaponaje.
  • @
    @djsamyofficial54524 years ago Kila siku habari njema habari njema na wakati wagonjwa wanaongezeka tu. 1