Duration 8:13

HERI KUCHAGUA JINA JEMA KULIKO MALI NYINGI - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH'S CATHEDRAL DSM

Published 27 Apr 2019

TUMSIFU YESU KRISTO Tunawakaribisha wapendwa wetu kuitazama video hii mpya ya HERI KUCHAGUA JINA JEMA ambayo ndiyo nyimbo iliyobeba album yetu mpya inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya kesho jumapili Tarehe 28/04/2019 Katika viwanja vya Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph's Cathedral) Jimbo Kuu la Dar es Salaam kuanzia saa moja kamili asubuhi. Album hii ina nyimbo zifuatazo 1. Mfanyieni Bwana Shangwe - P.F Mwarabu 2. Aliyeacha nyumba - Celestine Kapama 3. Aleluya Mshukuruni Bwana - Charles Saasita 4. Gloria - Antonio Vivald 5. Heri kuchagua jina jema - Richard Mloka 6. Ave Maria - Bach/Gounod 7. Tufuate Mfano - Fortunatus B. Mallya 8. Miaka 150 ya Ukristo Tanzania - David Benjamin Wasonga 9. Mwimbieni Bwana - Celestine Kapama 10. Nimekutumaini - Joseph Makoye Kwa anayehitaji DVD hii wasiliana nasi kwa simu namba 0755816669. NYOTE MNAKARIBISHWA Jesus,GOD,LOVE,FAITH,Bible,Christian,Godislove,JesusSaves,Jesuschrist,jesusislord,godisgood,Christ,Hope,Pray,ChristianQuotes,Christianity,prayer,truth,Holyspirit,blessed,amen,bibleverse,instapray,church,Jesuslovesyou,Lord,GRACE,Photography,worship,nyimbo mpya,nyimbo za kuabudu,nyimbo za dini,kwaya,kwaya mpya,kwaya katoliki,kwaya za zamani,kwaya mpya 2019,kanisa katoliki,jesus christ,easter,christ,roman katoliki,god,bible,faith,love,pray,jesus,grace,holyspirit,holybible

Category

Show more

Comments - 21