Duration 4:40

KUMBUKIZI: MAGUFULI ALIVYOMMWAGIA SIFA SAMIA MBELE YA WAJUMBE ANA HESHIMA HATA SURA YAKE NZURI

176 441 watched
0
773
Published 19 Mar 2021

NI Mwaka 2020 ambapo aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Bombe Magufuli wakati wa Kampeni kwenye kikao cha CCM kilichofanyika mkoani Dodoma alisimama na kumnadi ama kutoa sifa za Makamu wake Mama Samia Suluhu.

Category

Show more

Comments - 82