Duration 11:9

BREAKING: MO DEWJI Nilifungwa kamba, walinibembeleza nile chakula

95 622 watched
0
347
Published 20 Oct 2018

Category

Show more

Comments - 239
  • @
    @enockshija55126 years ago To god be the glory. Welcome back our brother mo. We missed you much.
  • @
    @superwomanmwenyeheri.13676 years ago Anaekubali kuwa kikubwa ni uahi, agonge like ya nguvu. 2
  • @
    @mwanajumaomahundumla65046 years ago Alhamdulillah mungu ni mwema furaha yangu nashindwa hata kuielezea. 8
  • @
    @suleimanmkongwa32186 years ago Mtajua wenyewe bora mo wetu karudi salama shukrani zote kwamungu muweza.
  • @
    @jerronjosephat80106 years ago Asante sana mwenyezi mungu kwa kujibu maombi yetu watanzania.
  • @
    @maryamkawasaki63346 years ago Alhamdulillah allah kareem kwa kuturudishia mo wetu alhamdulillah. 19
  • @
    @tumainimushi14916 years ago Asante mungu kumrudisha mo akiwa mzima. Tunakushukuru sana. 2
  • @
    @nuruabeid72766 years ago Alhmdulillah kwa kupatikana mo ya allah alhmdulillah. 3
  • @
    @hamisikiruja22746 years ago Tunamshukur mwenyezmung mo kupatikana akiwa salama mngu akubarki mo dewiji pamoja na wale wote walohuska kukutafta thank' s god bless mo dewiji so much.
  • @
    @hidayashaaban45426 years ago Alhamdulillah allah kareem allah amkinge na hili na jingine in shaa allah.
  • @
    @barakaalfred43156 years ago Tunamshukru mungu kwa kupatikana kwa mo. Mungu mpe afya njema.
  • @
    @abdillahsalami50556 years ago Naam hapana anae kubali dua zaidi ya mwenyezi mungu mmoja ambaye hana anae fanana nae wala mungu ajazaliwa wala ajazaa. Mungu ni mmoja na yeye ni mwingi wa kunusuru waja wake. Inshaallah allah akujalie mazuri. 31
  • @
    @user-dg8qe9rf9h6 years ago Alhamndulillah. Kwaujumla nikumshuku allah mengine tuyaache.
  • @
    @kanisiamkoko70516 years ago Ahsante mungu, kwa kutuludishia mo dewji wetu. 1
  • @
    @kiluviasamia63286 years ago Mwenyez Mungu ni mkubwa tunashukuru sana kupatikana kwa Mo Dewji .Dua ziendelelee na wengne waliotekwa sha Allah
  • @
    @danielsaringe9896 years ago Poleni. Sana. Jeshi. La. Polisi. Kwa. Kasi. Kubwa. Miliyo. Fanya. Mungu. Yetu. Nimemwa. Pole. Sana.
  • @
    @lukedon31276 years ago Mo mungu atakunusuru kwahasadi zao tunashukuru mdogowagu tunakuona umeteseka. 8
  • @
    @habityabsa9976 years ago Alhamdulillah! Allahu akbar! Dua zetu zime jibiwa! Hakika allah in mjuzi wa tuso yajua. He is the best of planner. Walipanga yao na kwa nguvu ya dua zetu . ...Expand 1
  • @
    @danielmayagila50916 years ago Asante mungu kwakumludisha mo iv 2ngefanyaje watanzania bila mo. 1
  • @
    @ayoubnyame62876 years ago Asante mungu kwa kumlejesha mpiganaji come back hiro.
  • @
    @elizabethmbena81746 years ago Kwakweli mungu nimwema. Yani roho inauma sana tena sana. 2
  • @
    @renatuskahindi86836 years ago Mungu katenda maajabu yake kwa mo. Pole sana bro mungu aendelee kukupigania.
  • @
    @rehemaaithumani30766 years ago Alhamdulillah tunakushukulu mungu wetu umejibu naomi yetu kwa kumludisha salama kwa familia yake aamiin.
  • @
    @waziriislam24556 years ago Millard ayo tuna kukubali kaka kwa taharifa za uhakika big up allah akuongoze ktk njia ya sawa.
  • @
    @triciouslorrah15166 years ago Daah mungu wangu hakika mungu anajibu maombi ya wengi. 11
  • @
    @gracysimwinga45486 years ago Tunamshukuru mungu kwa kumlinda na kumrudisha mo wetu salama. Mungu aendelee kumtunza na kumpa afya.
  • @
    @user-dx5lz6du4y6 years ago Jamani ahojiwe kwa sababu yuko mnyonge sana kama anakitu rohoni mwake. 2
  • @
    @joycemashikolo90966 years ago Mungu ni mwema sana. Watanzania wote wamekuombea bila kujari dini zao. Tumefurahi sana. 1
  • @
    @hadijahalifa54186 years ago Alhamdulah! Sijda tul shukran ni lazima, tunamshukuru ulie juu ulie mkuu! 2
  • @
    @karthala66766 years ago Nimefurahi sana amepatikana. Alhamdulillah.
  • @
    @beatricemagnus79196 years ago Nimefurahi sana kwa kupatikana kwake mo, kweli mungu wetu ni mkuu sana na jina lake mungu lizidi kupewa sifa, maana amesikia maombi yetu na ametujibu.
  • @
    @jumajohn13256 years ago Namshukulu mungu kwa kupatikana kwa mo.
  • @
    @mrshila12606 years ago Asante sana siro na alhamdulillah ya wallah.
  • @
    @annamwasyebule97816 years ago Mungu mkubwa tunashukuru mo karudi salama. 1
  • @
    @melickzedeckmunuo1906 years ago Tunamshukru mungu sana kwa kurundi kwa mo.
  • @
    @africandarling69256 years ago Yani jambo jema sana kwa kuonekana hakiwa hai jambo jema sanasana mo kalibu nyumbani pia pole sana.
  • @
    @evamasinde80266 years ago Mo kweri m2 wa watu maana tz yoteazid. 1
  • @
    @fedinatimotheo67076 years ago Dah thanks to god moree happy mo kupatikana.
  • @
    @daudshaza12216 years ago Pole sana mo nimisukosuko2 hio itapita pambana mkuu. 1
  • @
    @IssaIssa-ve7ir6 years ago Sasa kama amepatikna inabidi aweke jim nyumban kwake afanye mazoez akiwepo nyumbni kwake. 21
  • @
    @leinalukosi28526 years ago Tunamshukuru mungu kwa kumrudisha salama.
  • @
    @josephmkongwi88796 years ago Nimeamini kweli mungu yupo na mkono wa serikali ni mrefu. 2
  • @
    @mosesboniphace47336 years ago Kupatikana kwa mo nikwamaombi yetu kwamungu wanachi wala sion sababu yawatu wengine kujisifu kwan cwalishindwa kujua yuko wap. Poleni sana mungu yupo.
  • @
    @deoshirima3646 years ago Hakuna lisilo wezekana kwa mungu naamini dua za watanzania mungu amezisikia.
  • @
    @racheljohn39146 years ago Asante mungu wa mbinguni kwa kupatikana kwa bosi wetu kipenzi cha watu. 1
  • @
    @lailmeeea49086 years ago Alhamdulillah dua zimesaidi mungu yuko pamoja nae.
  • @
    @ambokilemwakasingila74886 years ago Tunamshukuru mungu kwa hill. Asante kwa jeshi la polisi.
  • @
    @alexmbunyinyiga16916 years ago Mungu ni mwema mo dewji mungu akulinde miaka yote.
  • @
    @albertshayo94296 years ago Mungu ni mwema siku zote, watanzania tunafuraha sana kwa kupatikana kwake, asante sana jeshi letu la polisi.
  • @
    @masoudbakwigwa57236 years ago Kazi nzuri kwa jeshi la police la tanzania.
  • @
    @samwelmwasamajengo6 years ago Like hii comments kama umefurahi kurudi kwa mo. 80
  • @
    @subirajohn7286 years ago Hongera sana kamanda sirro kwa jeshi shupavu kazi nzuri sana. Tanzania oyeee! 1
  • @
    @stainasmkoko6046 years ago Mungu wetu mwema sana tunakushukuru sana mungu umewasikia watanzania maana wanaomtegemea ni wengi sanaa.
  • @
    @saumuhassan63656 years ago My dear brother mo, sasaivi andaa chumba cha mazoezi nyumbani kwako, maana wakikukamata tena wanakuuwa hawa wapumbavu wasiotaka kufanya kazi wanataka mteremko tu.
  • @
    @farajihashim1786 years ago Alhamdulillahi pole mohammed hakika mitihani tumeumbiwa wanadam.
  • @
    @issasalaf16556 years ago Allahu akibaru ni mefurahi kisukia hii habari.
  • @
    @vivianlenard36186 years ago Hiyo lazima imetolewa, ila heri uzima hela inatauftwa tuu karibu uraiani mo mungu mwema.
  • @
    @agathaphoteen11786 years ago Mungu wetu ni mwaminifu. Sifa na utukufu ni zako bwana.
  • @
    @munaahmed84996 years ago Dua zetu allah amezipokea na bbd tuombeane dua zaid na zaidi ili wasitekwe na wengine. Ila pia tusisahau kusaidia askari wetu kuwapa taatuf kwa kila jambo . ...Expand 1
  • @
    @diamondgeyser79876 years ago Plate number siyo issue wahalifu wanaweza kuwa na plate number zaidi moja.
  • @
    @misanajoseph45096 years ago Mungu akupe miaka mia 100 duh nimefurahi sana.
  • @
    @bernadinasimon33616 years ago Ashukuriwe mungu aliye juu pia jeshi la police mungu awabariki.
  • @
    @revocatusv.stephano38466 years ago Mungu wa mbinguni ushukuliwe wewe uliyemulinda na kumrudisha kuungana na familia yake. Yesu asante kwa ulinzi uliotoa kwa ulinzi wa mtumishi huyu.