Duration 58:34

DADA KAFANYA KAZI ZA NDANI SIKU 8 ANADAI ALIPWE MSHAHARA WA MWAKA MZIMA

47 655 watched
0
220
Published 25 Aug 2021

Sikiliza huyu mama anataka alipwe mshahara wa mwaka mzima kisa boss wake alivunja Mkataba Mkataba huo unampa boss nafasi ya kubadili dada endapo ataona dada hajakidhi vigezo na boss anatakiwa amlipe dada siku alizofanya kazi Sasa huyu mama anataka alipwe mwaka mzima badala ya siku nane ambazo amezifanyia kazi.

Category

Show more

Comments - 432