Duration 9:46

Mbowe Alilewa, Akaanguka Akavunjika I Lijualika Afunguka Mazito Bungeni

190 962 watched
0
720
Published 9 Jun 2020

"Sisi tunajua Mbowe alikwenda kunywa, kapanda ngazi, kaanguka, kavunjika. Inawezekana vipi Kiongozi wa Upinzani atembee bila mlinzi usiku wa manane, wanasema wao ni chama makini, unawezaje kuwa makini ukashindwa kulinda uhai wako mwenyewe" Peter Lijualikali-Mbunge wa Kilombero #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Category

Show more

Comments - 355