Duration 23:55

Exclusive: Dogo Janja hatosahau haya ya shule, muziki na maisha

263 649 watched
0
1.7 K
Published 20 Mar 2016

Dogo Janja ni msanii wa bongofleva ambaye alikaa kwa ukimya wa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya muziki lakini sasa amerudi, alikaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuongelea ishu mbalimbali ikiwem kurudi kwake, maisha ya shule na mengine

Category

Show more

Comments - 167