Duration 26:39

Lissu atowa hotuba ya mwaka Zanzibar, asema CHADEMA inamuunga mkono Maalim Seif

334 092 watched
0
1.6 K
Published 7 Sep 2020

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amehutubia wakaazi wa Mjini Unguja akizungumzia masuala muhimu sana kuhusu ushirikiano wa vyama na hadhi ya Zanzibar kwenye Muungano wa Tanzania. Msikilize hapa.

Category

Show more

Comments - 861