Duration 9:22

Epuka Makosa 6 Kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara haraka

129 363 watched
0
1.5 K
Published 9 Sep 2019

Epuka makosa 6 kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara haraka, inawekezana haujui kuwa unafanya makosa ambayo yanakusababisha haupati mafanikio unayotaka.Haijalishi unaujuzi gani, kipaji gani au elimu gani ila kama ukiendelea kufanya makosa mafanikio kwako utayasikia tu.Muda mwingine mafanikio si kuhusu unachokijua tu, ila pia ni kujua usioyajua.Kama Benjamin Franklin alivyosema "Kuwa makini na gharama ndogo,kuingia kwa maji kidogo kunaweza kuzamisha meli kubwa".Mfano unataka kuwa na mwili wenye afya bora,unakula sana mboga za majani na kufanya mazoezi lakini kama hautoacha tabia za kunywa vinywaji sio sahihi hautoweza kufanikiwa kupata afya bora na mwili lakini kama hautoacha tabia za kunywa vinywaji sio sahihi hautoweza kufanikiwa kupata afya bora na mwili bora kama ulivyotegemea.Hivyo hivyo kwenye mafanikio usipoweza epuka makosa kadhaa kama haya ninayoshare na wewe then mafanikio kwako itakuwa ni ngumu kupata.Jaribu kuepuka makosa 6 haya kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara.Karibu 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇 /channel/UCk-G 🔴Follow me on Instagram - https://www.instagram.com/zahir11gome ... 🔴Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo ⚡Jinsi ya kupanga Bajeti-50/30/20 /watch/AC29pu6x0txx9 ⚡Je unapitia maisha magumu/wakati mgumu katika maisha? Usikate tamaa. Angalia Hii- /watch/s1LyF9w-5iM-y ⚡Angalia Hii : Kabla ujakata tamaa katika maisha /watch/MMD7pXv9F7B97 ⚡Jinsi ya kutengeneza na kuwa na pesa nyingi/Acha mambo haya matano (5) /watch/Aa1L3ozya2MyL ⚡JILIPE MWENYEWE KWANZA /watch/wbpMhs9-oUT-M ⚡FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA - /watch/YBxTGSjI-sZIT ⚡ KWANINI UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNASHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MALENGO NA NDOTO ZAKO - /watch/gmUhJ5LeKKaeh ⚡Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo -/watch/MndZk_58lzu8Z ............................................................................. 🔴Music from Youtube audio library -Steps #epukamakosa #mafanikio #gonline

Category

Show more

Comments - 126