@kilinakoshengelo294410 months agoMazoezi ya hivi yame mu improve Sana ngushi na wenzake 26
@
@balelelimbu297610 months agoKijana anaipenda Sanaa kaziiii yakee, hope atakuwa vzuri sana akiwa na YANGA 26
@
@misambo753910 months agoHiiiiiii Yanga ya Motooooo sanaa 🔥 🔥 🔥 16
@
@kilulumtunyungu936910 months agoSahihi maana mwamba hakucheza league kwamiezi 7 lazima apate fitness👏👏👏👏💪💪💪💪💪 15
@
@sanityonline451210 months agoHii ni kutokana na kukosafitnes na hajacheza mechi za ushindani mda mrefu kutokana na machafuko ya congo so alihitaji program maalum Ili kujiweka sawa 6
@
@AbdulatifSaidy10 months agoUnaweza kudhani anacheza vile kumbe ipo siku mtu atapigwa feint na ataachwa speed moja ya hatari kisa hilo zoezi subiri muone panapo majaaliwa 7
@kassimchuo529010 months agoNaitakia timu yang pendwa young Africans (YANGA)mafanikio mema na MUNGU awalinde kwa kila Shari nikiwa huku QATAR DOHA... 12
@
@hossamsuleiman581310 months agoKwa mara ya kwanza toka maxi atue bongo leo ndio kachomoa tshirt yake😎 8
@
@amanididas766010 months agondomana wachezaji wanakomaa sana km mambo yenyewe ñdo haya mamae,,Dah mpira mgumuuuu 1
@
@user-pr9wj7he1e10 months agoAziz ki angepewa nae hii kitu awe strong 6
@
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff10 months agoMazoezi haya magumu inakubidi mchezaji anaejielewa sawa hayana tofauti na mpiganaji ,,yanga bingwaa💚💛💪
@
@driss495710 months agoWanapikwa,Wakiiva,Wanadai waachwe wakatafute changamoto mpya,Inabidi tutafute dawa yke,Au waking'aa Azam anawatongoza katikati ya Msimu.. 1
@
@pacomezouzoua917510 months agoHapo wamuunganishe na mwamba wa wagadugu 1
@
@edwinbiika26810 months agoSafi na mwisho wakae wakijua kuwa club inawatengeza kiviwango hivyo waitumikie kwa moyo pia 6
@
@mackojohn196110 months agoHiki anachokifanya max ndo wachezaji wengi wa kibongo wanakishindwa 4
@
@finiaskalist74710 months agoHuyu kijana kama hasipo pata injury aloo ni mvp mpyaa kabisa 😅😅 7
@
@oswaldliberatus20710 months ago4
@
@shedadiabdul65410 months agoHii timu tamu kama za Ulaya Dadekiiiii.Daima mbele Nyuma Mwiko 🧡💚💛🔰💪🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅🏅
@
@azizasaid766010 months agoWeee hili tiz limemfanya zengeli asahau kuchomekea jezi leo 😂😂😂😂😂😂 2