Duration 6:35

Usajili wa Meena Ally kwenye XXL ya Clouds Fm | Aunda Kolabo la Kimataifa | Tazama hapa

36 043 watched
0
424
Published 15 Apr 2020

#CloudsDigital ipo live kutoka Studio za Clouds Fm ambapo Chama la Wana XXL ipo hewani muda huu. #Clouds360

Category

Show more

Comments - 57
  • @
    @twalibumohamedi24944 years ago Nampenda meena ally since naanza kumsikia ana ubunifu wa hali ya juu, keep it up madam. 1
  • @
    @juliuskova89794 years ago Asee mpemba kalibu sana ndan ya chama la wana one xxl. 2
  • @
    @mwaliissa89134 years ago Dah lah san nyie wat xxl hap team nzima imeenea aise. 1
  • @
    @selemalucas50974 years ago Napendaa meena ally anavyo host kipindi.
  • @
    @ntullyjanga334 years ago Leo nfurah kukusikia kumbe ndo uko joined.
  • @
    @sifaelmugitu80184 years ago Meena huwa simkubali sana akiwa na millard, wamezoeana sana hadi wanaharibu kipindi, bora hapa xxl amekutana na kina mchovu wajanja zaidi yake wamemtuliza wenge.
  • @
    @lukasanga6854 years ago Sipati picha hapa adamu kule meenal duud.
  • @
    @mwabayachacha35574 years ago Kwa hiyo kule kwa millard ayo hatokuwepo tena minna? Ktk ampilfire? 1
  • @
    @ginnimoreno62394 years ago Mena ndo alikuwa wakureplace pengo la fetty tangu mwanzo. 6
  • @
    @princepeter21104 years ago Meena, na kukubali sana, m2 wangu toka enzi za niambie yan sauti yako tu ndo inanikoshaga.