Duration 8:43

Sister Fey: Nimetoa mimba 7/Napenda kutongoza/Mimi nimdangaji

270 627 watched
0
806
Published 23 Jun 2018

Msanii wa muziki, Sister Fey amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu maisha yake hasa hasa posti zake za mapenzi ambazo amekuwa akiziachia mitandaoni. Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameachia wimbo mpya, Mashallah, amedai yote anayoyafanya anaishi maisha yake na sio kutafuta kitu chochote kama baadhi ya watu wanavyodai.

Category

Show more

Comments - 851