Duration 8:28

RC DODOMA MHE. ANTHONY MTAKA AISHAURI TAKUKURU

562 watched
0
6
Published 3 Nov 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka leo, Novemba 3 mwaka 2021 amefungua mafunzo kuhusu Mwongozo kwa wawezeshaji kufundishia vijana wa skauti kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa kwa wadau wa mapambano dhidi ya rushwa mkoani Dodoma.

Category

Show more

Comments - 1