Duration 15:22

UWEZO WA AJABU, MTU MZIMA ANAYEONGEA SAUTI YA KITOTO PEPO HILO SHINDWA, WEWE JINI MTOTO

1 135 398 watched
0
6.8 K
Published 9 Feb 2021

Kutana na Kijana Leward Mponda ambaye ana kipaji cha kubadilisha sauti yake ya utu uzima na kuongea kama mtoto mdogo, tumepiga nae stori ili kukifahamu kipaji chake. Mponda anasema aligundua uwezo wake wakati alipoona Watoto wanakula pilau nae akataka kula ili kujichanganya akajikuta anongea kama mtoto "Nilikua kwa Bibi nachunga ng'ombe nikarudi kutoka kuchunga ng'ombe nikakuta Watoto wanakula pilau, nikawaambia watoto na mimi naomba kula pilau na nyie, watoto walikimbia kisa sauti yangu niliyobadilisha, pilau ilinifanya nijaribu kuongea kama wao ili nile ila nikajikuta napatia"

Category

Show more

Comments - 1855