Duration 2:10

TANZANIA: TUME YA HAKI ZA BINADAMU WAJIPANGA KUSAIDIA MAKUNDI MAALUM UCHAGUZI MKUU 2020

98 watched
0
0
Published 18 Aug 2020

Tume ya Haki za Binadamu kwa kushirikiana na asasi za kiraia wamekutana mkoani Morogoro kujadili changamoto zinazoweza kujitokeza kwa makundi maalumu hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. #UchaguziMkuu2020 #HakizaBinadamu #HakizaBinadamuTanzania

Category

Show more

Comments - 0