Duration 7:23

Dr. Chris Mauki: Mambo 5 Yanayoua Kipaji

1 664 watched
0
41
Published 29 May 2021

Je una kipaji chochote? Unakipenda kipaji chako? Kama jibu ni ndio una kipaji na una kipenda kipaji hicho basi hauna budi kukilinda. Sijui kama unafahamu mambo ambayo yanaweza kukiua kipaji hicho? Hapa nakuletea MAMBO MATANO. Nifuatilie kwa makini ujifunze. #DrChrisMauki#Mambo5#Kipaji

Category

Show more

Comments - 7