Duration 9:29

JINSI YA KUTENGENEZA KARANGA ZA MAYAI NZURI SANA

163 411 watched
0
1.2 K
Published 16 Jan 2020

Jifunze Kupika Hizi Karanga Ni Nzuri Sana Kwa Nyumbani ,Pia Kwa Biashara. MAHITAJI -Karanga kilo moja -Sukari 1kikombe/100g -Mayai 3 -Unga wa ngano 3kikombe -Chumvi 2Tbsp -Maji 1Tbsp

Category

Show more

Comments - 195