Duration 7:12

JINSI YA KUTENGENEZA UA LA BIBI HARUSI // HOW TO MAKE A FLOWER BOUQUET // WEDDING FLOWERS HARUSI

4 130 watched
0
20
Published 13 Jul 2020

Hii video inaonyesha jinsi ya kutengeneza ua au maua ya Bibi harusi. Nimetumia akili na ubunifu, mtu yoyote anaweza kujaribu kwaajili ya matumizi binafsi au ya kibiashara. Hakikisha unavaa gloves na miwani ili kuzuia gundi ya moto isiingie machoni. Mimi niko Kansas Marekani....kwa mahitaji yoyote ya vifaa nilivyotumia au ushauri, tuwasiliane kwenye comments au Whats App +13167082581. Kama bado, tafadhali SUBSCRIBE, Like and Share video hii ili nipate morali ya kuendelea kuonyesha mawazo tofauti ya Biashara. Ahsante sana kwa kuangalia.

Category

Show more

Comments - 7