Duration 26:5

BINTI AMLILIA MAMA YAKE ANAYETESEKA NA PENZI LA MARIOO/MAMA ANAPIGWA NA KUHONGA MALI KWA KIBENTEN

146 256 watched
0
1.1 K
Published 28 May 2020

Tukio hili limetokea maeneo ya Kimara Sto over jijini Dar es salaam ambapo binti huyu analalamiko kuhusu Baba yake wa kambo ambaye alimuoa mama yake baada ya baba yao kufariki.Baba huyo inadaiwa kuwa ni marioo kwa maana ya kwamba anahudumiwa kila kitu na mama yao,lakini baya zaidi baba amekuwa akimpiga sanaa mama yao hadi kumuunguza na moto na pia alimpiga na kitu kichwani hadi mama akashonwa..!Fwatilia tukio hili kwa utulivu umsikie binti akielezea na vilevile umsikie mama akielezea ya kwake juu ya huyo mume wake... Endelea kufwatilia Channel yetu kwani kuna mengi yakujifunza kupitia hapa.Vilevile usisahau kuweka maoni yako kwani ni muhimu sanaa kwetu #geahhabibu #GeahTv #MatukioYaGeah

Category

Show more

Comments - 1922