Rais John Magufuli anawaapisha wakuu wa mikoa wapya wa jiji la Dar es Salaam na mkoa wa Manyara aliowateua siku ya jana.
Hafla ya kuapishwa kwa wakuu hao wa mikoa na viongozi wengine inafanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Matangazo haya pia unayapata kupitia #UTV na #AzamTVMax
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz