Duration 8:1

CORONA Updates: USA, ITALY, CHINA HALI MBAYAMaelfu Waendelea KUFARIKI

203 399 watched
0
511
Published 21 Mar 2020

CORONA Updates: USA, ITALY, CHINA HALI MBAYA…Maelfu Waendelea KUFARIKI mpaka sasa COVID 19 Imesababisha maelfu ya vifo vya watu duniani kote kutokana na kasi kubwa ya maambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine na hasa ikizingatiwa kwamba ugonjwa huu haujapa kinga wala tiba.. leo March 21, 2020, Global TV tunakuonesha namna ambavyo ugonjwa huu unavyoendelea kupukutisha maisha ya watu katika mataifa mengi hasa ya bara la ulaya na Asia kama Taarifa za Shirika la Afya Duniani WHO zinavyoonesha katika mtaandao wa WorldOmetres Msomaji na Mwandaaji ni Felista Massae UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 114