Duration 1:36

Mbunge CHADEMA Alivyoringa Stejini , Maonyesho ya Mavazi

2 272 watched
0
10
Published 24 Jun 2018

Mbunge CHADEMA Alivyoringa Stejini Kwenye Maonyesho ya Mavazi Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameandaa hafla maalum ya kuhamasisha wananchi kuhusiana na umuhimu wa kuchangia pesa kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Hafla hiyo imefanyika katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma. Katika hafla hiyo Wabunge wametoa burudani mbalimbali ikiwemo michezo ya sarakasi, Kuimba na kucheza. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 3