Duration 6:16

MANARA Ibrahim Ajibu Na Kagere ni Habari Ya Mjini

48 679 watched
0
141
Published 8 Oct 2018

MANARA "Ibrahim Ajibu Na Kagere ni Habari Ya Mjini" Mchezaji wa kimataifa wa Cameroon na vilabu kadhaa Barani Ulaya Samwel Eto’o Phills anatarajia kutua nchini Jumatano ya wiki hii kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Mpira wa Miguu utakaokuwa unamiliwa na kampuni ya Bia Tanzania –TBL. Mbali na kuzindua uwanja huo huo Eto'o atashiriki kuhamasisha vijana kuhusu michezo hapa nchini Pamela Kikuli ni Meneja wa Bia Castle na hapa anafafanua juu ya kampeni ya kuwaleta watu pamoja pia imezihusha Simba na Yanga Kwa upande wao wasemaji wa Simba na Yanga wamewapongeza castle lager kwa kusapoti maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini. GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOKInstall

Category

Show more

Comments - 32