Duration 5:13

ZINGATIA VYAKULA HIVI ILI KUKU WAKO WATAGE MAYAI MENGI NA BORA

25 724 watched
0
195
Published 9 Oct 2021

Jinsi ya kumfanya kuku atage mayai mengi , makubwa na bora uwa hutegemea aina ya chakula anachokula. #kuku #kilimo #vanila 👉Vyakula kama majani, tangawizi(ginger), Vitunguu saumu(Garlic),mashudu na madini 👉Kujifunza jinsi ya Kutumia vitunguu saumu kwa kuku wako upate mayai mengi. na faida zingine fuatilia somo hili👇 /watch/A-AJIrBuFU2uJ 👉Faida za majani kwa kuku /watch/gh7XHbUg46kgX 👉Kwa video zetu usishau ku subscribe🙏 🙏kuwasiliana nasi +255765467484 wasap na telegram pekee

Category

Show more

Comments - 101