Duration 8:5

KIFAA CHA CHAKULA CHA KUKU - ZERO COST CHICKEN FEEDER | HOMEMADE CHICKEN FEEDER

49 004 watched
0
1.1 K
Published 7 Aug 2020

Make Your Own Homemade Chicken Feeder and Zero Cost Chicken Feeder Usafi wa Vifaa (Vyombo) vya chakula na maji ni muhimu sana katika zoezi la Kudhibiti Magonjwa. Hivyo mfugaji unapaswa kuwa mbunifu ili kuwatenganisha kuku wako na uchafu unaosababisha Magonjwa. PLAYLIST Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji; https://bit.ly/2JlD0sl Njia ya Kupata Vifaranga Wengi wa Kienyeji; https://bit.ly/2YZjyJg Ufugaji wa Kuku Chotara; https://bit.ly/39r7FPD Ufugaji wa kuku wa Nyama; https://bit.ly/3dXOfEd Magonjwa Tishio ya Kuku; https://bit.ly/39oRfr1 Ujenzi wa Banda Bora; https://bit.ly/3bxQJs2 Uleaji Bora wa Vifaranga; https://bit.ly/2JjPH73 SOCIAL MEDIA YouTube; https://bit.ly/2vU8SBg Facebook; https://bit.ly/39ogwlb Instagram; https://bit.ly/3dA25xF Twitter; https://bit.ly/2UIh3Jh What's app; 255 (0)752209073 For Business Purposes Email; changamkiafursa@gmail.com

Category

Show more

Comments - 106
  • @
    @musesfakenya94663 years ago Ama kweli duniani huwezi ukapendwa na watu wote hata kama utawafanyia jambo zuri kiasi gani, yani nimeshangazwa sana na watu walio dislike video yenye . ...Expand 7
  • @
    @joshuadennis80184 years ago This is a really good job.
    keep up the good work.
  • @
    @franksaga34132 years ago Asee usiache kupost hapa youtube, una impact vijana wengi bila we kujuwa kwa hii elimu unayotoa. Mungu akubariki.
  • @
    @matildakessi8542 years ago Nimevipenda sana vyombosana kwa ubunifu. Mi nataka vilivyo keisha tengenezwa.
  • @
    @methusalempalukumivimba584 years ago Ahsante sana kwa mafunzo n' a fuata sana vido zenu kutoka drc kinshasa. 1
  • @
    @d.a.t33834 years ago Very good ideas hongera sana i am sharing all your videos.
  • @
    @salummhina48573 years ago Safi sana umesaidia sisi wa kipato cha chini. Nami naanza kupiga kuku.
  • @
    @methusalempalukumivimba584 years ago Navutiwa sana n' a vile shugulika n' a kuhumia wakulima mimi ni moja wao. 1
  • @
    @stevenjuliuschambua74874 years ago That is great indeed and cost less. I like it. 3
  • @
    @zuheorsalim77593 years ago Nashkuru nimejifunza sana kupitia chanel hii.
  • @
    @johnkamau64594 years ago Nimefurahia sana kutoka nairobi kenya pongezi nyingi sana. 2
  • @
    @saidinkwande64064 years ago Ndugu zangu mpo sehem gani na naomben namb ya wasapu.
  • @
    @gustavesadi2214 years ago Salam. Sasa mtchango unafanyika vipi kwa wanao patikana inchi zingine?
  • @
    @romanambelle63564 years ago Elimu nzuri isiyo na gharama. Ubarikiwe.
  • @
    @nzeyimanasadiki65314 years ago Izi feeders zinatumika kwa vifaranga wa wiki ngapi please naomba jibu.
  • @
    @salhiyaame77004 years ago Ilo unaweza kutumia kwa aina yyte ya kuku au?
  • @
    @ramadhaniiddi15864 years ago Nimejifunza mengi kwa video zenu
    asanten sana.
    2
  • @
    @ramamazanindegebedua72144 years ago Kweli hii na ile ya maji, zimenifaa saana, hongera assante sana kwa mara nyingine kiongozi, kwenye siku za nyuma niliona ukiwawekea kwenye mfuniko wa diaba, . ...Expand 2
  • @
    @paulinaduma49794 years ago Ka umenitoa gizani kuku nilikuwa nawapenda vyombo ndo nilikua nashindwa kununua asante sana. 2
  • @
    @gregorytraves68664 years ago Asante xan kwa elimu unonipa umenishawishi mpaka na mimi nafuga saivi kuku8. 2
  • @
    @nzogelamussa57424 years ago Assnte sana ndugu nimejua kifaa cha maji na chakula. 1
  • @
    @samwelimbise4 years ago Huo ni mfuniko wa aina gan. Au ni mfuniko wa nn.
  • @
    @saumuwazir64284 years ago Nimependa sana hiki kifaa kwani napoteza chakula sana kwenye vyombo vya dukani. 2
  • @
    @lydiankirote72564 years ago Hi am lydia am in kenya kilifi county/mombasa naomba begu ya azolla nitapata vipi? 1
  • @
    @mudriqtv81204 years ago Mimi natamani kufuga broo ila sijui pakuwauza. 1
  • @
    @christophekabilamusenge10244 years ago Samani rafiki aina y' a kuku zurie ni ainagani. 1
  • @
    @ufugajiwetu39504 years ago Je kwa kuku wa kubwa maan watapiga teke na kumwaga chakula? 1
  • @
    @geofreymbwile19574 years ago Sasa hapo kuku hawataumia shingo kutokana na ncha kali? 1
  • @
    @deotienndizeye76334 years ago Mimi naishi burundi bujumbura nayitaji sana munisaidie jisi yakupata chanjo ya marek kwamaana huku anma whatsap yangu ni (+257)75943014 naitwa do. 1
  • @
    @musesfakenya94663 years ago Ama kweli duniani huwezi ukapendwa na watu wote hata kama utawafanyia jambo zuri kiasi gani, yani nimeshangazwa sana na watu walio dislike video yenye . ...Expand 7
  • @
    @ramamazanindegebedua72144 years ago Kweli hii na ile ya maji, zimenifaa saana, hongera assante sana kwa mara nyingine kiongozi, kwenye siku za nyuma niliona ukiwawekea kwenye mfuniko wa diaba, . ...Expand 2