Duration 2:9

Diamond Akiimba Kionjo cha Wimbo Mpya,Loyal Akiwa na Mrembo wa Kizungu,Kwenye Cadillac Escalade

25 105 watched
0
323
Published 19 Jun 2021

CEO wa #WCB Wasafi #Diamondplatnumz Amesikilizisha Kionjo cha Wimbo wake Mpya #Loyal akiwa ndani ya Gari yake Mpya Cadillac Escalade sky captain edition,Diamond Platnumz anatarajia kuachia Album Mpya Mwaka huu 2021,Diamond Ameonekana na Mwanamke wa Kizungu Ambaye Anadhaniwa Kuwa Mpenzi wake Mpya

Category

Show more

Comments - 42