Duration 8:10

DEAL DONE;SIMBA WAMTANGAZA RASMI KINDA MMALAWI | PETER BANDA | MIAKA MITATU | BONGE LA MCHEZAJI predator

35 992 watched
0
91
Published 3 Aug 2021

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wamethibitisha kukamilisha usajili wa winga wa kimataifa wa Malawi 🇲🇼, Peter Banda kutoka Nyasa Big Bullets ya nchini kwao mkataba wa miaka mitatu. 👉 Uhamisho huu ni kukaribia kukamilika kwa Uhamisho ghali Afrika Mashariki, Luis Miquissone kwenda Al Ahly..#predator

Category

Show more

Comments - 25