Duration 2:44

UMEONDOKA MSAFARA WA WATU 44, MECHI TUNASIKIA AS VITA WANATAKA KUBADILISHA MUDA

45 426 watched
0
185
Published 9 Feb 2021

Kikosi cha Simba SC kimeondoka Leo nchini kuelekea Congo DR kuanza safari yake ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Ijumaa ya February 12, kuelekea mchezo huo afisa habari wa Simba SC Haji Manara ambaye ni sehemu ya msafara hue aliongea na Waandishi wa Habaria pia.

Category

Show more

Comments - 57