Duration 2:3

UBATIZO: Nguvu ya Ubatizo wa maji mengi

7 874 watched
0
27
Published 25 Apr 2021

Kuna siri kubwa kwenye Ubatizo wa maji Mengi, lakini kubwa kabisa ni kuwa Ubatizo ni ishara ya kufa pamoja na Kristo na kufufuka pamoja naye katika upya wa uzima. "Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu." (Wakolosai 2:12)

Category

Show more

Comments - 11