Duration 3:9

Rais Magufuli aahidi kumkabidhi Mama yake Mzee wa Somanga aliyempa Jogoo

2 975 watched
0
8
Published 30 Jul 2020

Mzee huyu amempongeza Rais Magufuli kwa kumuonesha ukweli kwa vitendo vyake. Amempa Rais Magufuli Jogoo huyo ili ampelekee mama yake mzazi aliyemlea, aliyemfundisha uzuri, wema na huruma kwa Wanaadamu Rais Magufuli amemshukuru akisema "Baba yangu ametangulia mbele za haki, umenipa Jogoo. Siku ujika Chato nitakukabidhi mama yangu nawe uwe baba"

Category

Show more

Comments - 1