@dixonkasujja202 years agoWith this teachings l can' t hesitate to say " you are the real mirror of the society. You need a big support. 4
@
@kasangamukokoma56623 years agoBaba muchungaji nashukuru sana kwa mahubiri zote unazotoa mungu akujaliye siku nyingi duniani. 8
@
@goodluckmutapa79193 years agoNeno la mahana sanaapo ila usaidie taifa la mungu lisipoteye, 2
@
@charotelimo50263 years agoNawashauri uhai media. Hiyo picha ya huyo dada mliyoweka display kabla ya video sidhani kama ni idhini yake iwekwe hapo na ikiwa na kichwa cha habari kama hicho. Jaribu kuwa makini na image za watu. 5
@
@PatrickJerome3 years agoHongera kasisi daniel kwa mahubiri yako ya kweli kabisa na wosia ya kuishi kwa maadili mema kwenye jamii. Uzidi kubarikiwa pakubwa! 7
@
@andulilemwakihabha20483 years agoMchungaji mungu akubariki unahubili ukweli nakukubali sana. 6
@
@victorcheruiyot24953 years agoMy all time pastor. Very clear message. 2
@
@aminahali11063 years agoYaani kama kuna muhubiri mwenyewe kusema kweli, basi ni wewe. From 254 country 001. 8
@
@Mugaa7953 years agoI like this man of god, he preaches the real life situations. 14
@
@saidhamis89543 years agoMungu akubariki sana mchungaji tunabarikiwa sana. 6
@
@juliusogonji92632 years agoThe fall of the church is evident on the celebration of the congrigation. This is not rebuke that leads to joy. It should bring repentance. 1
@
@chalesmazengo48013 years agoImenigusa sana hii kwa sisi tunaoingia kanisani cha ajabu tunaleta vituko ' ubarikiwe mtumishi. 5
@
@felimoadam36533 years agoNakubali mchungji mgogoo neno la mungu niupanga ukatae kuwili sema baba sema. 3
@
@roseirangatwa2 years agoAmen, mchungaji karibu kenya uhuburi unafundisha ukweli. 1
@
@godfreymajura53362 years agoNinafikiri wapenda mafuta yaani miujizi kuliko mwenye miujizi na manabii wao waache mara moja zaidi kuna hasira ya bwana juu yao. 1
@
@respisiusrevocatus50242 years agoMungu akupepe uzima na azidi kukusimamia daima na ukalipwe mema mbinguni. 1
@
@barakarajabu97512 years agoMwenyez mung akubaliki xan baba mchungaji.
@
@coolruler68203 years agoUbarikiwe mtumishi, sema utuponye. Mungu alitupa hao kama wasaidizi ila wameisahau kazi mungu aliyowapa wamegeuka kuwa vibaka hadi wasaidizi wao ni kiguu na njia, madai yao 50 kwa 50. Wamesahau maneno waliyopewa pale walipotolewa ubavuni mwetu na kuwekwa humu duniani, ajabu walielezwa kila kusudi na mungu kuwafanya kuwa wasaidizi wetu ila leo wamesahau hilo na kuishia kudanga wakidai wanaume hawaeleweki. Mungu awahurumie kwawakidai wanaume hawaeleweki halafu wanajidangisha kwa wanaume hao, vivuruge kweli. Anaachana na mwanamume wake anadanga na mwanamume waakili asee, hao wala si mapepo ni majini mtumishi. ...Expand5
@
@amanisaid9863last yearMimi ni muislam ila ww ni kipajinapenda maahubiri yko sana.
@
@jorammingingo28272 years agoShukrani mutumishi wa mungu kwa mahubire. Nasi pia tunabarikiwa na mahubiri yako hapa drc goma. Ubarikiwe mchungaji.
@
@alexjackson66083 years agoMhhh kwel bado kanisa linahitaji nguvu ya kiroho. 3
@
@phelisterschelimolast yearMungu asimame nasi hakika napenda sana mambo ya huyu pastor mugogo.
@
@ulaweboy34793 years agoWapee ndo zao japo mm islam nice pastor unafunza jamii. 1
@
@dorcaskahindo86322 years agoUbarikiwe baba sana mungu akupe mwisho mzuri.
@
@josephmesache75792 years agoKweli unakipawa cha kuhubiri mungu akubariki. 1
@
@adamgadieli88393 years agoKweli wambiee kwenye kwaya kuna kunguru na ng' ombe umo wana kwaya wanachezeana wao kwa wao. 5
@
@januaryfinias95693 years agoMchungaji nabarikiwa sana na mahubiri yako mungu akupe maisha marefu sana. 1
@
@RamaRama-ul9nc3 years agoMtumishi wa mungu upo vzr ktk kuielimisha jamii. 1
@
@paschalchristopher83492 years agoBalikiwa sana baba kwa mahubili mazuri sana.
@
@benyngeniuko40673 years agoNapenda sk kuja kusali kanisan pako nakupenda sna.
@
@johnchokera24943 years agoKweli mwewe ndio wengi, mungu tukumbuke. 1
@
@richardsoit52213 years agoPower word. May god bless you s pst mgogo nimepata funzo hayo yote unayosema ni ukweli na yanatendeka.
@
@brokermangimwanzatanzania88362 years agoAmeni ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe mzuri.
@
@jameskivaya53973 years agoTuned from kenya. Mahubiri yako sasa kabisa. 1
@
@barakashija87703 years agoMungu akubaliki mchungaji hakika ww n noma.
@
@zainakuzenza7593 years agoNakupenda mchungaji kwa kutupa dongo kizani napenda sana mahubiri yako barikiwa endelea kupiga nondo tutaelewa tu. 15
@
@piusmichael84933 years agoUmegonga ndipo pasta, mungu akutie nguvu.
@
@simonkishosha48713 years agoMafundisho haya yanagusa sana watu wenye tabia hizo alizo zungumza mch, daniel yani yuko sahihi kabisa ambavyo anasema vijana kwa wasichana kutembea ktk jumba lenye vyumba vingi paspo kumuona mwenzie. 2
@
@nabilmwalim66803 years agoPadric encrease you effort one day you will get you jurney. So is very nice.
@
@margretchipkwemoi82973 years agoPasta mungu akubariki kwahayo unasema nikeli.
@
@oliviakhevali70383 years agoPstr una upako wa yesu christo. Mungu azidi kukutumia uokoe roho za watu! 6
@
@samuelmutua7552 years agoBwana asifiwe kwa haya mahubiri bwana na azidi kupaka mafuta.
@
@grysonterry49443 years agoDu mchungaji umesema ukweli sana mungu akupe maisha. Marefuu. 1
@
@shabanikamsawa1813 years agoWatakula nn jamani kula yao ipo hapo kati waache mchungaji maisha yao yana tegemea vibubu vyao. 3
@
@mamarohosafi20463 years agoYani haya ndio maelezo ya njia safi yamungu. 1
@
@mosesjonathan88503 years agoUko vzr baba piga vita za kiroho mbele kwa mbele, najua hata wachungaji wenzio hawawezi kukupenda sababu wengi wao ni wazinzi, piga injili baba.
@
@allenjoelmassawe68103 years agoKwelii wew mzee kiboko mungu akubariki.
@
@briansancedo93363 years agoAmeni ubarikiwe mtumishi, hii ni sindano ya kutibu visichana vipepo, vipone kwa jina la yesu, tena kweli hata hapo wapo wengi wanafanya mazoea kanisani haohao ndio wazizi wa kutupwa, mungu atusaidie sana. 3
@
@mwametallic76683 years agoPoleni kumpoteza rais wenu pombe maghufuli daktari.
Related videos for MCH.DANIEL MGOGO -MSICHANA UNAWAPANGA WANAUME,UNAWACHUNA/HUO NI UMALAYA:
pst mgogo nimepata funzo hayo yote unayosema ni ukweli na yanatendeka.