@queenpiscator61174 years agoHongera sera zako sio uchonganishi wewe ni mpuuzi. 1
@
@peterezrom51944 years agoUmeongea vizuri sana. Huwa napenda sikiliza hotuba zako. Hakika mungu huwa anawapa watu vipawa. Mi nikuombee mungu akuepushe na maadui wowote.
@
@tajjudinihaji27764 years agoMashaa allah lissu nakupenda pia allah akujalie iyo kanzu iwe ni sababu ya wewe kuingia kwenye dini ya haki. 23
@
@noelbabuya4 years agoSawa rais umenigusa kwa kweli watu tunaogopa kitu ambacho lazima kiwe. 4
@
@tatuali13794 years agoDuh nipo omani kur yangu unaikosa baba. 1
@
@issaallimohammed49754 years agoKamanda siro waambie tume ya uchaguzi watende haki ikitendwa amani lazima itashamiri bila kuombwa. 5
@
@luluamri3704 years agoUtamaliza mavazi, kijani iko vilevile, sera yako ni hiyonabii mussa alishapita hapo kashazoa kura zote kizota. We baki kuwa kinyon mara ombaomba mala keo mwanasheria, mara kesho mchimba mkwala, mara mfokeaji, mara unarudia line za magufuli adui mkubwa hofu, tarehe 29 utapanda lorry za usiku kwenda kenya kuianza safari yako ya kurudi belgium. ...Expand
@
@rojaboka79104 years agoWw ndio mwanasiasa wengine wachumia tumbo. 13
@
@issaalfani10304 years agoWatanzania tunakwama wapi mtu anapo sema yanayo wakuta wengi kisha tukapuuza nikukosa mawazo yamaisha halisi. 7
@
@sophialaurent28764 years agoBwabwaja yoote lakin urais hupati hata utambikie. 1
@
@johnbosco10584 years agoKampeni jamani ni shidaa yaani kaamua kutafuta kura kishehe hhaha.
@
@kassidpandu8664 years agoRisasi 19 masikioni mwetu tumechoka kuisikia. 1
@
@georgenyalulu45504 years agoMweshimiwa hofu gani umaongelea maana hofu ya coronambali na corona ilikimbia ila wenzako walisusia bunge sababu ya corona lkn kampeni zimeanza naona hakuna hata mmoja aliyevaa barakoa, au nao wameisjinda hofu! Brain storm. ...Expand2
@
@adammjomba71124 years agoMimi kura yangu lazima nimpe kamanda mh tundulisu yeye ni mwenye wekedi na subria na pia anamaono mzuri huyu mtu atatuvusha sioni vile mh makufuli anaweza. ...Expand10
@
@aminaabdallah77024 years agoUna vaa kanzu ili yufiche kuwa yuko na maframason wanao abudu shetwani? Onesha vidole tena kama yulio vionyesha shinyanga mungu hapendi uongo wala kumdanganya. ...Expand1
@
@jamesbantom70524 years agoTatozo chama chako kinaendeshwa kitapeli.
@
@jamhurramadhan37074 years agoWw hata ukivaa joho urais utausikia tu ss tunakujua km mnafiki mkubwa ww.
@
@jazeelaabdi3964 years agoMm najitambua vizuri nyinyi mnaoshabikia matatizo sera zenyewe ananadi risasi na matusi halafu unategemea aje akujue shabikieni hashindi hata mfanye nn. 2
@
@jarsaduba26264 years agoAcha kutumia jia ya mkato kutafuta kiti cha raisi ukweli dio itakuweka huru. 6
@reubenbegashe23724 years agoSasa mbona wenzako walikuwa na hofu ya corona, lakini mimi na wao tuna hofu na wewe ya kwamba unatumika na mabeberu kuvuruga aman yetu wa tz. 10
@
@wilfredmlaki8224 years agoChizi tu wewe! Kibara na msaliti tu wewe! Eleza una sera zipi! Mbona hueleweki yaani unatuchanganya tu, eleza utalifanyia nini taifa!
@
@Mamatonny20654 years agoHuna nia nzuri na tanzania. hofu uliyonayo umeileta wewekuwa na busara unapofanya kampeni zako. acha kelele. acha kumtukana magufuli. acha kuhamasisha fujo. acha wivu na magufuli. eleza sera zako kwa watanzania!. ...Expand9
@
@ziadasadiki81964 years agoJamani kuraa hatariii leo kavaa kanzu. 3
@
@Mwarobaini4 years agoKuna tukio limetokea muda huu huku bofya link hapa chini kuona tukio lote. 1
@
@amanchatila20834 years agoKisa kavaa kanzu jamaa zetu comment zao zinamtia moyo. 1
@
@somiyosam434 years agoLisu mm mwenyewe mkristo lakn cjapenda waslam wanayo fanyiwa namagofuli mashee wafunguliwe niyeye mwakauu. 8
@
@jonathanfrancis23854 years agoHaustahili kuvaa nguo hizo huku unashabikia ushoga moyoni mwako. 2
@
@bartonfredrick50474 years agoWe ndo mwenye hofu unataka madaraka kwa kufosi. 6
@
@iyapothemarker16374 years agoDuhh,, huyu jamaa kumbe Tundulisu ndo alivyo
@
@jumakibanga21404 years agoLissu piga kazi achana na hao wanaoasema umetumwa. 11
@
@thieryniyonkuru50234 years agoUmerudi na asylum seeker ya belgium, wadanganye mazwazwa wenzako. 4
@
@aboubackhrkassangullah33774 years agoMie kilicjonivutia ni hiyo kanzu na kofia tu basi. 1
@
@jazeelaabdi3964 years agoHashindi na hatoshinda jipeni moyo tuui. 1
@
@sasha-ri7tf4 years agoBaadhi yetu tupo majasiri kukukaribia wewe mhe tundu lisu, na tunazidi kumuondosha mdudu hofu katika kiwiliwili chetu sababu tukiendelea kuogopa hatutoyafikia. ...Expand
@
@elminakalunga40304 years agoUngetuona tunavyokucheka hukuuu! Wachekesha ujue! Shoga na kanzu wapi na wapi jamani? 2
@
@athumankigomba4274 years agoMpeniuraisi mtiweuchoko waulizeni afrika ya kusini wote wamealibikawanavyotaka.
@
@jameskatoto52794 years agoKaribia utavaa chupi wewe hupatikn ng' o. 1
@
@meddymushimaz49984 years agoWewe unavaa nguo nzuri za heshima wakati unataka kutufanya mashoga. 1
@
@samwelsimon92784 years agoHakuna maendeleo bila ccm kuwa mpizani niuwongo mtupu. 2
@
@sifamushi17474 years agoMzee lissu kwa kweli leo umenifurahisha vazi la heshma! kanzu na barka shea. Safi sana mkuu. Uwe unapiga ayo mapigo mara kwa mara. please. ...Expand
@
@uledimtumwa24064 years agoHawa jamaa wa aina hii ni haram kuwapauchaguzi ndio katia timu. Ngoja uchaguzi uishe kama hajakimbia mzushi huyu.
@
@jazeelaabdi3964 years agoHushindi na hatukupendi unadhalilisha vazi la waislamu unajifanya swala wakati ndani mbwa mwitu. 1
@
@fatumamilimo73364 years agoYaani dodoma tunavyompenda magufuli acha tu yaani huna chahoja nzuri ahsante kwa kushiriki. 1
@
@husinayahaya24454 years agoWewe hata ukijipendekeza na uisilam huwezi kupata uraisi bwege wewe. 4
@
@athumankigomba4274 years agoWewe kibaraka msimsikilize shertani firimaso mchagueni shoga huyo.
@
@musamkare89904 years agoUtabadili sana mavaz ila ikulu forget kuingia.
@
@stephenmseti55394 years agoTuna hofu na wewe maana ulienda kutibiwa ulaya lkn cha ajabu kwa kushirikiana na msaliti mwenzako mkawa mnaisema nchi ughaibuni kwa mabaya tu, pia ulikuwa. ...Expand
@
@kasimugullum58624 years agoManeno yenye yaqiin, kama ya aboud rogoaleyhi) 1
@
@philemonkwembe4824 years agoAna lolote uongo tu atuonyeshe nn alicho fanya katika tanzania au uko kwao. 3
@
@amosmoses78004 years agoKila mmoja atakufa isipojuwa john pombe. Uyu hatokufa. Ataishi milele. Na ndio mana anabadilisha katiba aongezewe muhula wa kutawala milele.
@
@hktztv65194 years agoSikiliza cheche za TUNDULISU Dodoma kuhusu MAGUFULI
@
@majaliwacosmas33224 years agoHakuna kitu wewe mjinga, bora mtu are kwa ugonjwa kuliko kutuletea vita. 4
@
@nickkakumbi95674 years agoKichaa ni wewe. Marisasi yanasumbua akili yako. Mwehu wewe. 3
@
@maspro62944 years agoWewe kibaraka wa mabeberu hakuna wa kuwapa inchi nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko wewe labda uwe rais mashoga na kuzibua vyoo na october mkileta fujo. ...Expand1
Related videos for LISSU ALIVYOWATOA HOFU WANANCHI KAMPENI ZA CHADEMA DODOMA:
umenigusa kwa kweli
watu tunaogopa kitu ambacho lazima kiwe. 4
hofu uliyonayo umeileta wewekuwa na busara unapofanya kampeni zako.
acha kelele.
acha kumtukana magufuli.
acha kuhamasisha fujo.
acha wivu na magufuli.
eleza sera zako kwa watanzania!. ...Expand 9
huku unashabikia ushoga moyoni mwako. 2
ng' o. 1
kanzu na barka shea. Safi sana mkuu. Uwe unapiga ayo mapigo mara kwa mara.
please . ...Expand