Duration 11:10

TANZANIA YAPATA BILIONEA MPYA KUPITIA TANZANITE | YANGA YAKOMAA NA MORRISON

1 183 watched
0
19
Published 24 Jun 2020

Katika News Room Leo, Serikali ya Tanzania imetangaza kumpata Billionea mpya aliyeuza madini ya Tanzanite yenye thamani ya Billion 7.8. Timu ya Yanga imempiga faini mchezaji wake Bernard Morrison kwa kosa la kufanya mazungumzo na wanahabari kinyume na kanuni za timu hiyo

Category

Show more

Comments - 0