Duration 2:8

MARCH 15 ARUSHA, MADEREVA 20 ATAJULIKANA NANI MKALI VAISAKHI RALLY

6 077 watched
0
31
Published 11 Mar 2020

Zaidi ya Madereva 20 wa magari wanatarajiwa kuchuana vikali Machi 15 mwaka huu jijini arusha katika mashindano ya mbio za magari mzunguko wa kwanza nchini, mashindano yaliyo pewa jina la VAISAKHI RALLY, ambapo mashabiki na wapenzi wa mchezo huo wameombwa kujitokeza kwa wingi siku hiyo kujionea vipaji vipya na umahiri wa madereva hao katika uendeshaji wa magari hayo maalumu ya mashindano.

Category

Show more

Comments - 3