#HiviPunde #SerengetiMediaCentre #Subscribe #antomatv
Wanafunzi Kutoka Shule Mbalimbali za Wilaya Ya Butiama wakionesha talanta zao katika kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere
Shuhudia na furahia talanta hizi kutoka kwa vijana hawa.
Kuwa wa kwanza kupata matukio ndani ya channel hii
Washa Arifa (Notification) yako sasa ili uwe wa kwanza
Pia tembelea Kurasa zetu ndani ya mitandao ya kijamii
@Antomatv @SerengetiMediacentre