Duration 8:30

SUGU APASUA JIPU DR. BASHIRU AMENIPIGIA SIMU, HII SIO SURA YA CCM WANACHUKUA WAJINGA

211 253 watched
0
1.3 K
Published 26 Feb 2020

Category

Show more

Comments - 634
  • @
    @fatmasayid88954 years ago Asante mr Too mbunge nakuelewa sugu suguwa wataendelea kukujua hongera zifike 11
  • @
    @rushydahmed71414 years ago Sugu kweli ni genius,, wapiga kura ndio mali sio mpigiwa kura...hongera sana Sugu.. 7
  • @
    @tygondeliga18964 years ago Nakubari mh sugu fact umeongea stay blessed mwanaharakati👊 18
  • @
    @lusajodaimon27804 years ago Mwe kyala akotole nkamu gweto tokoganile fijo👍👍👍 6
  • @
    @stevennchimbi18334 years ago Nakupenda sugu kwa jinsi unavyojiamini,u napambana sana bungeni ingekuwa tunafuata siasa bora basi usingenyimwa maendeleo ktk jimbo lako.nakupa tena kura yangu mwaka huu. 44
  • @
    @bonifasbonara93234 years ago Wao ccm hajielewi wanachukua wapigiwa kura badara ya wapiga kura ccm jitambueni 1
  • @
    @babylonyNgwembe4 years ago Mhhh sugu nakukubali hila kwa TULIA Weee biashara zako vizuri 1
  • @
    @sabinakibaki78854 years ago Acha uongo muogope Mungu wakihamia ccm wamenunuliwa wakienda chadema demokrasia 2
  • @
    @frankmlowe48194 years ago sawa baba kama ungekua Njombe ivi hongera kwa mapambano.