Kubandika kope moja moja kwa kutumia gundi ya kope, tape ya karatasi au "under eye patches" na tweezers (POINTED TWEEZERS ni bora zaidi).
ANGALIZO:- JARIBU KWA UANGALIFU, GUNDI INAWEZA SABABISHA MATATIZO YA MACHO.
Mimi nimembandika rafiki yangu Jacky kwa ridhaa yake mwenyewe. Na ninamshukuru sana kwa kunipa nafasi hii.
Kwa mahitaji yoyote njoo Facebook : " Melllanie Kay " na pia niko INSTAGRAM @mellaniejr