Duration 2:28

KIPAJI HURU | Dada aonyesha umahiri wa kucheza yaani ni hatariiii sana

2 203 watched
0
11
Published 5 Aug 2020

Tunakualika kushiriki ibada zetu Mlima wa Moto Mikocheni "B" hapa jijini dar es Salaam Tanzania kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. baada ya ibada utapata nafasi ya kuangalia watu wenye vipaji na pia utapata nafasi ya kuonyesha kipaji chako. Ibada zetu za Jumatano na Ijumaa zinaanza saa 9 alasiri kila wiki

Category

Show more

Comments - 1