Duration 23:3

PUNGUZA KITAMBI kwa KUCHEZA na kutembea Nyumbani | INDOOR WALKING

1 056 watched
0
32
Published 4 Dec 2021

Mazoezi ya kutembea ni aina ya cardio itakayokusaidia kuunguza mafuta mengi kwa haraka, mazoezi haya yanawafaa watu wenye uzito mkubwa pia na itawasaidia kupunguza uzito kwa haraka. #kupunguzakitambi #kuongezapumzi #mazoeziyaviungo #cardioworkout #burncalories

Category

Show more

Comments - 4