Duration 10:39

ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU | GONLINE

1 757 watched
0
49
Published 7 Jun 2020

Usianzishe biashara mbaka uangalie hii, hizi ni shara 5 za onyo ambazo zitakuosha kuwa haupo tayari kuanzisah biashara kwa muda huu, unaona watu kwenye mitandao ya kijamii instagram, facebook, unaona maisha ya mjasiriamali aliyefanikiwa . Unaona magari mazuri wanayoendesha (Ferrari, Bentely), unaona nyumba zao zilivyokuwa nzuri na wewe unasema nahitaji maisha kama hayo pia na nitakachofanya nitaanzisah biashara kama wao, swali ni je upo tayari. Hizi ni ishara tano za onyo ambazo zitakuonesha kuwa labda haupo tayari kuanzisha biashara kwa muda huu. KARIBU ..................................................................... 🔴 Background Music kutoka Epidemic sound - What I Waited For Kikoru- https://www.epidemicsound.com/track/e5pVyzyuIy Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 https://www.tubebuddy.com/Gonline 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇 /channel/UCk-G 🔴Follow me on IG- https://www.instagram.com/zahir11gome ... 🔴Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡JE UNA KIPAJI? // Maswali 7 ya kujiuliza ambayo yatakusaidia kugundua KIPAJI chako 👉 /watch/chiFq_m2uZa2F ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx ⚡JE UNAPITIA WAKATI MGUMU HIVI SASA KATIKA MAISHA : Angalia hii kabla ujakata tamaa 👉/watch/cJfMBNrbzBLbM ⚡NJIA 5 ZA KUKUSAIDIA KUTENGENEZA PESA KWA KUFANYA UNACHOKIPENDA : Nakuishi maisha ya ndoto zako 👉 /watch/05quTMhNLhENu ⚡SIRI ZA MAFANIKIO KWA KIJANA YEYOTE MWENYE MALENGO MAKUBWA MWAKA 2020 👉/watch/4MeJEDFkxLEkJ ⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako 👉/watch/47pGKa0baGGbG ⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉/watch/kNvxPR3MgRLMx ⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 /watch/IdeBGj4SRE5SB ⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 /watch/EDmnNFzwqXvwn ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/4Q3OgNLNiv4NO #Biashara #Mjasiriamali #Mafanikio

Category

Show more

Comments - 16