Duration 13:40

Fahamu jinsi ya kusoma mziki katika GRAND STAFF/How to read music in grand staff PART1.

2 570 watched
0
25
Published 23 Mar 2021

Mziki wa kwenye Grand staff ni rahisi kusoma endapo ukifaham vitu vya msingi.Katika video hii nimeeleza introduction ya vitu vya vya msingi vya kufahamu wakati wa kusoma mziki(notation). Je ungependa kujua zaidi n kupata msaada kuhusiana na muziki(piano,music production n.k)? wasiliana nasi kwa hii namba +225742728808/+225624154339..

Category

Show more

Comments - 2